QR code
doctornaturaltz's avatar

doctornaturaltz

Doctor Natural Tz imejikita katika kutoa suluhisho za kiafya kwa njia ya asili. Tunazingatia afya na ustawi wa mwili kwa kutumia virutubisho vya chakula, matibabu ya asili, na ushauri wa kitaalamu wa kiafya. Huduma zetu zinajumuisha: Tiba na uchunguzi wa matatizo ya yote ya Afya. Ushauri wa afya na Virutubisho. Virutubisho bora vya chakula vilivyothibitishwa kwa ajili ya kuboresha kinga ya mwili na afya kwa ujumla. Lengo letu ni kuwasaidia watu kufikia afya bora bila athari za dawa za kemikali, kwa kutumia suluhisho za asili ambazo ni salama na bora. Tunajivunia kushirikiana na Eternal International, tukihamasisha maisha yenye afya na fursa za kiuchumi kupitia mtandao wa masoko. Kwa Doctor Natural Tz, afya yako ni kipaumbele chetu!

Verified Accounts

Facebook

Interests

  • Health
  • Nutrition
  • Alternative Medicine
  • Medicine and Healthcare
  • Herbs and Supplements